Editors arthurbuliva
Page 1

Matatizo yanayowakumba watafsiri


Mtafsiri hana budi kuunda uswahiba na kamusi. Kamusi ni dafina muhimu sana kwa mtafsiri yeyote. Dola zinazoshughulikia ukuzaji wa kiswahili zimepiga hatua kubwa katika mawanda ya tafsiri kwa kuandika kamusi zenye istilahi anuwai. Mathalan, kamusi ya sheria, kamusi ya sheria, ya biashara, ya tiba, ya isimu.
Hivyo, mtafsiri mwenye ukakamavu hana kisingizio cha 'ufinyu' katika kazi yake.

896.07