Jul
09

Matatizo yanayowakumba watafsiri


Mtafsiri hana budi kuunda uswahiba na kamusi. Kamusi ni dafina muhimu sana kwa mtafsiri yeyote. Dola zinazoshughulikia ukuzaji wa kiswahili zimepiga hatua kubwa katika mawanda ya tafsiri kwa kuandika kamusi zenye istilahi anuwai. Mathalan, kamusi ya sheria, kamusi ya sheria, ya biashara, ya tiba, ya isimu.
Hivyo, mtafsiri mwenye ukakamavu hana kisingizio cha 'ufinyu' katika kazi yake.

Jun
13

kasahorow Update


kasahorow Update - English

Dear Subscriber,
We are very happy to resume our communication with you.

Marley


Marley


Mar
17

Jinsi ya kuepuka wageni wasioalikwa


Kufanya karamu kubwa ni kazi ngumu na huhitaji mtu aliyechukua husika. Jambo la mwisho ambacho ungependa lifanyike ni kukumbana na wageni wasioalikwa. Lakini usifanye watu hao kuharibu jioni yako wakati umetia bidii kufanikisha sherehe. Na mitindo kidogo waweza kuepukana nao kabisa
Maelezo
Ugumu wa matumizi: Rahisi
Hatua ya 1:
Alika kila mtu.

Mar
09

Sababu ya fisi Kuchechemea


Twiga. Ambaye alikuwa mgambo, alipiga mbiu yake. Viumbe wote walijua kwamba mfalme Simba alikuwa anawaita mkutanoni. “Kuna nini kibaya?” waliulizana. Chochote kingekuwa kibaya. Labda hata hakuwa na chochote kibaya.

Search with Google